Ajenda ya mikutano rasmi
Mei 2001
*1 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la Kufanya Kazi juu ya taarifa ya misaada
*2 Mei : Brussels : Muungano wa Ulaya, kamati ishughlikayo na sharti la 133 la Huduma
*2-3 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, kamati ishughlikayo na misaada na hatua za uchunguzi mambo
*3 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ishughlikayo na mapato ya serikali
*4 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la kazi juu ya uangavu katika mapato ya serikali
*7-8 Mei, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza Kuu
*7-8 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*9 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ishughlikayo na masharti dhahiri
*9 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ishughlikayo na Biashara ndani ya Huduma za za fedha
*9 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*9 & 11 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara - COSTA RICA
*10 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la kazi lishughlikalo na Kanuni Maafikiano Makuu Kuhusu Biashara ya Huduma
*11 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la kazi lishughlikalo na sheria za kipekee
*14 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ishughlikayo na bajeti, Fedha na Uongozi
*14-15 Mei, Brussels : Muungano wa Ulaya, Baraza, Mambo ya Ujumla
*14-16 Mei, Paris : Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na maendeleo,Kikao "Maendeleo yanayoweza kusafirika na Uchumi wa Hali Mpya"
*14-20 Mei, Brussels : Mkutano wa tato wa Umoja wa Mataifa juu ya Nchi Masikini
*15-16 Mei, Brussels : Muungano wa Ulaya kamati ishughlikayo na sharti la 133 la Huduma
*16 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Kusuluhu Mabishano
*16-17 Mei, Paris : Mkutano wa Mawaziri wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na maendeleo (OECD) Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na maendeleo
*16-18 Mei, Boras (Sweden) : Kamati sharti la 133
*17-18 Mei, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Maafikiano Makuu Kuhusu Biashara ya Huduma Kikao maalum
*18 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Sheria ya Asili
*21-22 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, kikao maalum cha kamati ya kilimo
*22-23 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Biashara na Maendeleo (Kikao cha 33)
*22 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la Kazi juu ya Kuingizwa kwa Kambodia
*22-23 Mei, Brussels : Muungano wa Ulaya, Baraza, Kilimo
*23 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kikao maalum juu ya kamati ya Kilimo
*28 Mei : Mkutano wa Mawaziri juu ya Biashara baina Euro-Med
*28 Mei 1 Juni, Roma (Italia) : Shirika la Chakula na Ulimaji Duniani (FAO), Kamati juu ya dhamana ya Chakula Duniani
*28 & 30 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara Brunei Darussalam
*28-30 Mei : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*29 Mei, Uswidi : Muungano wa Ulaya, Mkutano usio rasmi wa Mawaziri wa Biashara
*30 Mei, Brussels : Muungano wa Ulaya kamati ishughlikayo na sharti la 133 la Huduma
*Mwishoni mwa Mei, Ireland : Kura ya maoni juu ya mkataba wa Nice
Juni
2001
*1 Juni, Brussels : kamati ishughlikayo na sharti la 133 la Huduma
*5 & 7 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara -
Shirika la Biashara Ulimwenguni, wanachama wa Umoja wa Nchi za Karibea ya Mashariki
*6 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Biashara katika ndani ya uwanja wa ndage za kiraia
*7-8 Juni, Luxemburg : Muungano wa Ulaya, Baraza, Mazingira
*8-9 Juni, Geneva : Muungano Mabunge Mkutano wa wabunge wa mataifa ya Shirika la Biashara Ulimwenguni
*11-12 Juni, Brussels : Muungano wa Ulaya, Baraza, Maambo ya Ujumla
*11-14 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*12-13 Juni, Brussels : Muungano wa Ulaya, kamati ishughlikayo na sharti la 133 la Huduma
*13-14 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la kazi juu ya Biashara na Kitegauchumi
*13-14 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, kandi la kufanya kazi kuhusu kuingizwa kwa Ukraine
*14 Juni, Göteborg (Uswidi) : Mkutano wa wakuu wa Marekani na Muungano wa Ulaya mapatano juu ya ajenda ya duru mpya
*14-16 Juni, Gothenburg (Uswidi) : Mkutano wa wakuu wa mataifa, mwisho wa uraisi wa Uswidi + Mkutano wa wakuu wa Muungano wa Ulaya na Marekani
*15 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Soko
*15 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*18-22 Juni, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Makubaliano yanayohusu haki za kazi za kitaaluma (TRIPS)
*19-20 Juni, Luxemburg : Muungano wa Ulaya, Baraza, Kilimo
*20 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Kusuluhu Mabishano (DSB)
*24-30 Juni, Roma, Shirika la Chakula na Ulimaji Duniani : Kamisheni juu ya rasilimali za vinasaba katina uwanja wa Chakula na Kilimo -
Ubadilishaji wa shughuli za kimataifa kuhusu mimea ya vinasaba kwa ajili ya Chakula na KIlimo
*25-26 Juni, Luxemburg : Muungano wa Ulaya, Baraza, Mambo ya Ujumla
*25 & 27 Juni : Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara (TPRB) - GABON
*25-27 Juni, New York : Kituo maalum cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kujadiliana juu ya UKIMWI.
*26-27 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la Kufanya Kazi juu ya kuingizwa kwa Urusi
*27 Juni, Brussels : Muungano wa Ulaya, kamati ishughlikayo na sharti la 133 la Huduma
*27-28 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Biashara na Mazingira
*28-29 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Kilimo
*28-29 Juni : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Vikwazo vya Kiufundi vya Biashara (TBT).
Julai 2001
*2 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya wenye kushiriki katika Uenezaji wa Biashara ya Bidhaa za ufundi wa utangazaji habari
*2-3 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Maafikiano ya Biashara baina ya nchi jirani
*2-4 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*3 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Sheria ya Asili
*4 Julai, Strasbourg (Ufaransa) : Muungano wa Ulaya, Bunge la Ulaya Baada ya Kukkabidhi, mjadala juu ya urais wa Ubelgiji wa Muungano wa Ulaya tangu tarehe 1 Julai hadi tarehe 31 disemba, 2001
*5 Julai, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la 95 la Maafikiano Makuu Kuhusu Ushuru na Biashara
*5-6 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la kazi juu ya mwingiliano baina ya Biashara na Sera za mghalaba
*6-7 Julai : Muungano wa Ulaya, Baraza lisilo rasmi "ajira Mambo ya kijamii"
*10-11 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Hatua kuhusu mazingira na afya
*12-13 Julai, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Maafikiano Makuu Kuhusu Biashara ya Huduma
*13 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Sheria ya Asili
*13-14 Julai : Muungano wa Ulaya, Baraza lisilo rasmi "Siasa za nchi jirani na maendeleo"
*16-19 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*17-20 Julai, Dar Es Salam (Tanzania) : Mkutano wa wakuu wa Nchi Masikini (LDC)
*18-19 Julai, Geneva : Baraza Kuu Shirika la Biashara Ulimwenguni -
Mjadala juu ya ajenda ya Mkutano wa 4 wa Mawaziri
*20 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ndogo juu ya Nchi Masikini (LDC)
*20 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*23-27 Julai, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kikao maalum cha Kamati ya Kilimo
*24 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Kusuluhu Mabishano
*25 & 27 Julai : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara - KAMERUNI
Agosti 2001
*29-31 Agosti, Helsinki (Ufini) : Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na maendeleo (OECD) Kugharamia Elimu ya Juu
Septemba 2001
*6-7 Septemba, Brussels : Muungano wa Ulaya Braza lisilorasmi la Mawaziri wa Biashara Urais wa Ubelgiji
*10-12 Septemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*12 & 14 Septemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara USA
*14-16 Septemba : Muungano wa Ulaya, Baraza lisilo rasmi "Mazingira na usafirishaji"
*16-17 Septemba, Alden-Biesen (Jimbo la Limburg, Ubelgiji) : Muungano wa Ulaya, Baraza lisilorasmi "Kilimo" (Kwenye ajenda Bioteknolojia na viumbe vilivyobadilishwa kwa vinasaba -GMO-)
*20-21 Septemba, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza Kuu la Makubaliano yanayohusu haki za kazi za kitaaluma (TRIPS)
*20-21 Septemba, Hong-Kong : Mkutano wa Jumla wa 2 juu ya Huduma Duniani
*22-23 Septemba, Liθge (Ubelgiji) : Muungano wa Ulaya, Baraza lisilo rasmi la ECOFIN
*24 Septemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya wenye kushiriki katika Uenezaji wa Biashara ya Bidhaa za ufundi wa utangazaji habari
*25 Septemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Kusuluhu Mabishano
*25 & 26-28 Septemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Kilimo
*27-28 Septemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Maafikiano kususu Biashara baina ya Mataifa Jirani
Oktoba 2001
*2-4 Oktoba, Washington : Mikutano ya kila mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Kimataifa la Fedha
*3-4 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Biashara na Mazingira
*4 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Sheria ya Asili
*5 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza kuhusu Biashara ya Bidhaa
*8 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Biashara na Maendeleo (Kikao cha 34)
*8-9 Oktoba, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Maafikiano Makuu Kuhusu Biashara ya Huduma (GATS)
*8-9 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Vikwazo vya Kiufundi vya Biashara
*9 Oktoba : Muungano wa Ulaya, Baraza, Mambo ya Ujumla
*9 Oktoba : Kamati ya Leseni ya Kuingiza Bidhaa
*10-11 Oktoba, Geneva : Baraza Kuu la Shirika la Biashara Ulimwenguni
*11-12 Oktoba, Stockholm (Uswidi) : Mkutano wa kila mwaka wa Mazungumzo kuhusu Biashara ya ng'ambo ya Bahari ya Atlantiki (TABD)
*12 Oktoba, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Maafikiano Makuu Kuhusu Biashara ya Huduma
*15-17 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*17 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati juu ya Soko
*17 & 19 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara Jamhuri ya Czech
*19 Oktoba, Ghent (Ubelgiji) : Baraza lisilo rasmi la Ulaya
*22 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Ukadiriaji wa Forodha
*22-23 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya kuchunguza uzajazi wa bidhaa rasmi katika soko Kundi la kazi juu ya utekelezaji
*24 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya kuchunguza uzajazi wa bidhaa rasmi katika soko Kundi la kazi lisilo rasmi la dhidi ya ukwepaji wa kijanja
*25 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Kusuluhu Mabishano
*25-26 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya kuchunguza uzajazi wa bidhaa rasmi katika soko
*29 Oktoba : Muungano wa Ulaya, Baraza, Mambo ya Ujumla
*29 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Kujilinda
*30 Oktoba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kundi la kazi la Misaada
(Kamati la hatua za uchunguzaji wa misaada)
*31 Oktoba - 1 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Hatua kuhusu mazingira na afya
*31 Oktoba - 2 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Hatua kuhusu mazingira na afya
Novemba 2001
*1 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Biashara ya Bidhaa
*2 & 5 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara - MAURITIUS
*5-7 Novemba, Ottawa (Canada) : Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OECD) Mkutano wa Kimataifa : Kupima na kuongezea nguvu huduma za afya katika mataifa ya Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OECD)
*5-9 Novemba, Roma : Mkutano wa wakuu wa Mataifa ya Shirika la Chakula na Ulimaji Duniani (Roma+5)
*9-13 Novemba, Doha (Katar) : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Mkutano wa 4 wa Mawaziri
*12 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya wenye kushiriki katika Uenezaji wa Biashara ya Bidhaa za ufundi wa utangazaji habari
*12-14 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*13 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Kusuluhu Mabishano
*13 & 14-16 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Kilimo
*16 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya sheria ya asili
*21 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ya Biashara katika uwanja wa ndege za kiraia
*26-29 Novemba, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Makubaliano yanayohusu haki za kazi za kitaaluma (TRIPS)
*27-28 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Kamati ndogo juu ya Nchi Maskini
*30 Novemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza la Biashara ya Bidhaa
*30 Novemba, Dakar : Mkutano wa kimataifa juu kurahisisha kwa wote njia za kupata madawa
Disemba 2001
*3 & 5 Disemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara - MALAYSIA
*6-7 Disemba, Geneva : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Baraza juu ya Biashara ya Huduma
*10-12 Disemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Uchunguzi wa Biashara ya Vitambaa
*12 -14 Disemba : Baraza Kuu la Shirika la Biashara Ulimwenguni
*14-15 Disemba, Brussels : Mkutano wa Wakuu wa Ulaya, Mwisho wa Urais wa Ubelgiji
*17 & 19 Disemba : Ofisi Mpya ya Sera ya Biashara - UGANDA
*18 Disemba : Shirika la Biashara Ulimwenguni, Ofisi ya Kusuluhu Mabishano
Mwaka wa 2002 Mwaka wa 2002 Mwaka wa 2002 Mwaka wa 2002 Mwaka wa 2002
Januari 2002
*31 Januari - 5 Februari, Davos (Uswisi) : MKUTANO WA
KIUCHUMI WA KIMATAIFA - MKUTANO WA KILA MWAKA 2002: NEW YORK
Septemba 2002
*2-11 Septemba, Johannesburg (Africa ya Kusini) : Mkuu wa Wakuu wa Umoja wa Taifa juu ya Maendeleu yanayoweza kusafirika (Rio+10)