Ajenda ya Upinzani
MEI 2001
*Mei 10-11, Landani : Mkutano wa Kimataifa juu ya Madawa ya Maradhi Yaliyotelekezwa (MSF/UK)
*Mei 10-12, Brussels : Mkutano wa Mashirika Yasiotegemea Serikali (NGO). Lengo la mkutano huu ni kuandaa Mkutano wa 3 wa Umoja wa Mataifa juu ya Nchi Maskini
- Fomu ya kujiandikisha yapatikana hapa : http://www.oneworld.org/liaison/forum (muda wa mwisho Tarehe 30 Machi 2001)
*Mei 12-13, Brussels : "Uthabiti katika Sera za Kilimo na Biashara" - Semina iliyoandaliwa na Collectif Stratégies Alimentaires (CSA) (Shirika linaloghughlikia mkakati wa chakula), Oxfam–Solidarity, Confédération des Betteraviers Belges (CBB) (Shirika la wakulima wa Ubelgiji wa mmea wa sukari Betteraves), Via Campesina/Coordination Paysanne Européenne (Uratibu wa Wakulima wa Ulaya)
-Habari
zaidi: http://eu.ngoforum.be
-Mahali
: International House, Rue Haute, 139, Brussels (Mwaliko u lazima)
*Mei
15, Brussels : "Tangu Dakar hadi Porte Alegre: Kufuta madeni kwa ajili ya
maendeleo huru:
-
Karakana ya fikra iliyoandaliwa na CADTM pamoja na CNCD
-Habari zaidi: http://eu.ngoforum.be
-Mahali : Institut des Sciences naturelles, 137 Rue Belliard, Brussels - tangu saa 11:00 hadi saa 13:30
*Mei 16, Brussels : "Muungano wa Ulaya: nguvu za ulimwengu ama ushirikiano ulimwenguni?"
- Kukabidhi na kujadili juu ya ratiba ya Shirika Kaskazini-Kusini ya Kibelgiji (the Belgian North-South Coalition) wakati wa Urais wa Muungano wa Ulaya
-Habari zaidi: http://eu.ngoforum.be
-Mahali: Institut des Sciences naturelles, 137 Rue Belliard, Brussels – Tangu saa 11:00 hadi saa 13:30
*Mei 16, Brussels: Semina ya Ulaya kuhusu msimamo wa Muungano wa Ulaya juu ya Biashara ya kilimo na jinsi Shirika la Biashara Ulimwenguni linavyorahisisha maisha
- "Kuna sera gani juu ya kilimo na Biashara kwa ajili ya kuboresha kilimo Ulaya na ulimwenguni ?" (Muandalizi : Shirika Kaskazini-Kusini (North-South Coalition) na Mashirika Yasiotegemea Serikali (NGO's) kwa Urais Ubelgiji wa Muungano wa Ulaya)
-
Angalia "Mijadala na Mikutano -
Colloquiums & Conferences"
*Mei
17-18, Brussels :
"Kushirikisha wataalamu wasiotegemea serikali katika ushirikiano baina ya
Muungano wa Ulaya na mataifa ya Afrika, Karibean na Pasifika " – karakana
ya kikazi iliyoandaliwa na Eurostep, 11.11.11. pamoja na Cidse/Trocaire
-Habari
zaidi : http://eu.ngoforum.be
-Mahali:
Jumba la Building, 74 Rue de Trèves, Chumba A – Ghorofa la 7, Brussels – Alhamisi 17 Mei tangu saa 10:30
hadi saa 12:45 na tangu saa 14:00 hadi 17:30 – Ijumaa 18 Mei tangu saa 09:30
hadi 13:00
*Mei
17-18, Amsterdam : Mkutano wa mkakati na mikakati ya kazi zihusuzo kilimo na
biashara, iliyoandaliwa na mashirika Friends of the Earth International (FoEI),
Milieudefensie (Friends of the Earth Netherlands) pamoja na Via Campesina
-
Wasiliana na : Bertram Zagema - Milieudefensie - P.O. Box 19199 - 1000 GD
Amsterdam - Uholanzi - Simu : +31-20-550.73.87 - Fax : +31-20-550.73.10 - E-mail
: Bertram.Zagema@Milieudefensie.nl
*Mei
21-22, Bonn : Mkutano wa Kimataifa "Huduma kwa nani? Athari za masharti
ya Maafikiano Makuu Kuhusu Biashara ya Huduma (GATS) kwa ajili ya maendeleo
yanayosafirika", mkutano huu uluandaliwa na Shirika “Mazingira na
maendeleo” (Environment & Development)
JUNI
2001
*Juni
9-10, Barcelona : "Uhuru katika biashara na utandalizi
-
Kuna athari gani kwa maisha ya wanawake?, semina iliyoandaliwa na "The
Catalan Platform of the European Women's Lobby" pamoja na "The
European Women's Lobby"
-
Wasiliana na : sonia.ruiz@womenlobby.org
- ewl@womenlobby.org
*Juni
12-14, Gothenburg (Uswidi) : "Kusafirika kwa maendeleo na umoja : Mbinu
za Ulaya kwa ajili ya Mkutano wa kilele wa Dunia juu ya kusafirika kwa
maendeleo", Mkutano uliandaliwa na Marafiki wa Dunia kutoka Uswidi (Friends
of the Earth Sweden), Marafiki wa Dunia kutoka Ulaya (Friends of the Earth
Europe) pamoja na Heinrich Böll Foundation
-
Wasiliana na Malin Mansson - malin.mansson@mjv.se
- Pernilla Rinsell - pernilla.rinsell@mjv.se - http://www.mjv.se
*Juni
18 : Siku kuu ya kimataifa ya shughli za Makubaliano yanayohusu haki za kazi
za kitaaluma (TRIPs)
*Juni
18-20, Manila
(Ufilipino) : Mkutano Msaada rasmi kwa maendeleo ya Asia
- Mkutano uliandaliwa na Mtandao wa Utafiti katika Asia na Pasifika (Asia-Pacific Research Network -APRN) - http://www.aprn.org - e-mail : secretariat@aprn.org
JULAI
2001
*Julai
2-3, Brussels : Semina ya kimataifa juu ya "Wataalamu wasiotegemea
Serikali katika nchi za Afrika karibean na Pasifika"
*Julai 4-6, Yaounde (Kameruni) : Karakana wa wabunge wa nchi za kiafrika zinazozungumza Kifaransa na Kireno. Karakana hii ilihusu "haki kwa chakula na haki kwa maendeleo". Kutakuwa na karakana ndogo sita. Muandalizi ni COASAD's initiative (Coalition des Organisations Africaines pour la Sécurité alimentaire et le Développement durable)
- Habari zaidi : Christine Andela, Sanduku la posta 11813 Yaounde - Simu: (237) 96 32 58 - Fax: (237) 22 86 55 - E-mail: andelac@yahoo.com
SEPTEMBA
2001
*Septemba
1-7, Afrika ya Kusini : Mkutano juu ya Ukabila
*Septemba
14, Brussels :
Siku ya Uchunguzi kuhusu "Ni lipi hatarini la mkutano wa mawaziri wa
Shirika la Biashara Ulimwenguni ulifanyika Doha ?" – Uchunguzi huu
utafanyika kwenye Bunge la Ulaya, Muanzilishi wake ni URFIG's likishirikiana na
Green Group
-
Habari : +32 (0) 478 913 812 - rmj@urfig.org
*Septemba 17-18,
Brussels : "CAP, Nchi za Kusini, Mapatano ya Shirika la Biashara
Ulimwenguni : Bei za bidhaa za kilimo na soko kwa wote"
- Mkutano wa kiulaya ulioandaliwa na Shirika la Ulaya la Mafunzo ya Kilimo na
Maisha Vijijini (European Training Association for Farming and Rural Affairs
-AEFPR) & Oxfam-Solidarité
- Lugha : Kiingeleza, Kifaransa, Kihispania, Kijerumani, Kiholanzi (kimyakimya),
Kirano (kimyakimya)
- Mahali : Jumba ND du Chant de l'Oiseau, Centre de Formation, Avenue des
Franciscains 3a, 1150 Brussels
- Habari zaidi na kujiandikisha (muda : 6 septemba) : Shirika Kuu la Wakulima wa
Kiulaya - Rue de la Sablonnière 18 - 1000 Brussels - Simu : + 32 2 217 31 12 -
Fax : +32 2 218 45 09 - E-mail : cpe@cpefarmers.org
OKTOBA
2001
*Oktoba
16 : Siku Kuu ya
Kimataifa ya Chakula kwa wote
-
Muandalizi ni Via Campesina
*Oktoba 19-20, Brussels : Mkutano wa Shirika Lisiotegemea Serikali (NGO) EuroMed
! SIKU YA UCHUNGUZI IMEAHIRISHWA !
*Oktoba
25, Beirut (Lebanon) : Siku ya Uchunguzi
juu ya "?" – Uchunguzi huu utafanyika kwenye Bunge la Ulaya,
Muanzilishi wake ni URFIG's likishirikiana na Lebanese groups
- Habari zaidi : +32 (0) 478 913 812 ama rmj@urfig.org
NOVEMBA
2001
*Novemba
5-9, Roma : Mkutano wa Shirika Lisiotegemea Serikali (NGO) juu ya Mkutano wa
kilele kuhusu Chakula Duniani" Miaka 5 Baada ya Mkutano wa Roma"
(Roma+5)
-
Uratibu wa Kimataifa : Antonio Onorati - E-mail: mc2535@mclink.it
*Novemba
9 : SIKU YA KIMATAIFA YA UPINZANI DHIDI YA SHIRIKA LA BIASHARA ULIMWENGU
-
Shughli dhidi ya Shirika la Biashara Ulimwenguni (CFWTO) – SIKU YA UPINZANI :
9 Novemba 9, 2001 – Mkutano wa Shirika Lisiotegemea Serikali (NGO) WIKI LA
SHUGHLI HIZI : 9 – 13 Novemba, 2001 - http://www.wtoaction.org/cfwto
*Novemba
9 : Siku ya vyama vya wafanya kazi juu ya pahali pa kazi duniani
-
Habari zaidi : Uongozi wa utangazaji wa Shirika la kimataifa la vyama huru vya
wafanyakazi (International Confederation of Free Trade Unions (ICFTU)
-
Simu : +32-2-224.02.32 ama +32-476-62.10.18 – Kurasa za Internet : http://www.icftu.org
- ama : http://www.global-unions.org
*November 22, Brussels : Debriefing Qatar - On the 4th WTO Ministerial Conference
-Organized by : MINTH, in collaboration with URFIG & Coalition Nord-Sud
-Simultaneous translation in French, English and Dutch
-From
09.
-Venue : MINTH - rue Haute 139 - 1000 Brussels (Belgium)
-Free
entrance
Contact : Samuel Poos – Phone : +32 (0) 2 - 213.12.22 – E-mail : ftic.services@minth.be
DECEMBER 2001
*December 4-6, Brussels: Fifth P7 Summit - Food Sovereignty and Democracy: Letting the World Feed Itself
-Venue: Brussels, European Parliament - Rue Wiertz - Altiero Spinelli - Room 1G3
-Simultaneous
interpretation: English, German, Spanish, French, Finnish, Italian, Dutch, and
Swedish
-Participation:
free of charge
-Contact and registration: