Habari za Afrika

 

 

 

Tarehe 25 mei, Jubilii 2000/Shirika linaloshughlikia madeni na maendeleo Afrika (CAD-Mali) pamoja na shirika la wanafunzi wa kiafrika huko nchini Mali (CONEAM), yamesherehekea siku kuu ya Afrika

Bunge la Kenya lapitisha muswada wa sheria kuhusu madawa ya UKIMWI (12 Juni 2001)